Mwandishi wa kidigitali ni mtu muhimu katika karne hii ya sasa ambayo ulimwengu unakimbilia katika masuala ya kidigitali hasa kwa kutumia mitandao mbalimbali ambayo itakuwezesha mwandishi kuandika na kuweka...
Journalists around the world are increasingly turning to digital technology to help address daunting challenges such as the spread of misinformation and growing attacks on reporters which revealed that...
Miongoni mwa mambo yanayoweza kumtoa mwandishi wa habari kutoka hatua moja kwenda nyingine katika masuala ya kiuchumi ni kujikita katika masuala ya kidigitali. Katika ulimwengu huu wa kidigitali kuna...
Tunapozungumzia ulimwengu wa kidigitali tuna maana ya kwenda na wakati uliopo na kukabiliana na namna ya kukabikiana na changamoto Ulimwengu wa kidigitali umerahisisha maisha hasa wa kwa wanahabari kwani...
WAKATI dunia ikisonga mbele hususan katika kukua kiteknolojia wanawake hawajaachwa nyuma, ili kufikia mapinduzi ya maendeleo kidigitali. Wanawake wanahabari nchini wapatao 60 kutoka mikoa tofauti wamepewa mafunzo ya kukuza...
Here is why If you have ever shared content online or in any platforms via digital tools, then we can say that you are a digital journalist. I mean...
Wakati dunia inashuhudia mapinduzi ya kidijitali, Nyanja mabalimbali za ajira zimepata mabadiliko, kuna Nyanja ambazo zimepata mabadiliko hasi na kuna ambazo zimepata mabadiliko chanya katika kufanikisha kazi zake ikiwepo...